Mtaalamu wa Laptop aina ya DELL INSPIRON 1545

Mtaalamu wa Laptop aina ya DELL INSPIRON 1545

njoo workshop hapa kinondoni manyanya petrol station mwanamboka.0716-844978
 
Mi yakwangu ni Sony,screen imepata crack inaonyesha 50% ivi. kuna screen zinauza peke yake? au yabidi ninunue mpya?

Screen zipo, we njoo na pc yako tuone ni saizi gani ya kiooo
 
Msiangaike, hapa dar mchawi ni pascal yupo pale roundabout kkoo kulia kama unaelekea mnazi mmoja
 
Back
Top Bottom