Mtaalamu wa Laptop aina ya DELL INSPIRON 1545

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,000
Kwa yeyote aliemtaalamu wa kiufundi katika laptop ambayo haidisplay kwenye screen yake naomba kusaidiwa:
Laptop yangu ni DELL INSPIRON 1545, 2GB RAM, 320HDD. ilinunuliwa 2011 March 11th, Brand new.

SIKU MOJA mnamo 2013, July 12,, ILIFUNGULIWA KUANGALIA AINA YA RAM ILIYOPO KWA LENGO LA KUWEZA KU-UPGRADE FROM 2GB RAM TO 6GB RAM. KUTOKANA NAKAZI NINAZOFANYA Ram ya 2GB haikuwa na uwezo. SASA BAADA YA KUANGALIA RAM ILIYOPO NA ILE INAYOHITAJIKA, THEN IKAFUNGWA KAMA KAWAIDA BUT BAADA YA KUIWASHA ILIWAKA KAMA KAWAIDA LAKINI HAIKUWEZA KUDISPLAY KITU KWENYE SCREEN YAKE. HIVO BASI NIKAFANYA JITIHADA ZA KUTAFTA RAM NYNINGNE NIKIDHANI ILIYOKUWEPO IMEKUFAA THEN NIKANUNUA MPYA YA SAIZI YAKE LAKINI BADO ILIWAKA NA KUUNGURUMA KAMA KAWAIDA LAIKINI HAIKUDISPLAY CHOCHOTE, BASI TANGU SIKU HIYO HAIDPLAY KABISA ILA UKIIWASHA INA WAKA NA TAA ZAKE ZINAFANYA KAZI KAWAIDA.

HIVO BASI KUTOKANA NA HILO IKABIDI NICHUKUE VGA ADAPTOR YA MONITOR desktop NA KUUNGANISHA NA LAPTOP THEN NIKAIWASHA HAPO IKAWAKA NA KUDISPLAY KWENYE MONITOR NYINGNE NA NDIVYO NINAVYOFANYA KILA SIKU.

HIVO BASI MWENYE UFAHAMU NA TATIZO HILI AU MAFUNDI WATAALAMU WALIPO NAOMBA KUJULISHWA ILI NIWAFIKIE KWA KUPATA UFUMBUZI YAKINIFU, Contacts NI 0754061392 AU WAWEZA NI PM.
 
jaribu authorised dealers wanaweza kukusaidia kuservice
 
Mkuu utakuwa umeua screen au inverter!! Hilo ni tatizo dogo tu mcheck fundi atakutengenezea! Mie ninae fundi wangu yuko vzuri sema amesafiri

Hello niachie contact zako , nchi gani amesafiria?
 
Nenda pale machinga complex ghorofa ya nne kuna mafundi computer kama milioni hivi, kama utakuwa na wasiwasi nitakupa mawasiliano ya ninaowafahamu mimi.

Ok, nimekupata vema
 
una hakika screen haijavunjika wakati mnaifungua kuanzalia ram? and next time usifungue unaweza kujua aina ya ram yako bila kufungua, 0713644485 nicheki na hakika itafanya kazi!!
 
Ok, nimekupata vema

machinga complex usiende. toa hapa full model ya hiyo laptop yako then tujaribu kuitengeneza.
ila kwa muujibu wa maelezo yako kwa vyovyote mkanda utakua umechomoka wakati mnahangaika nayo ila posibility ya kufa screen bado naona ni ndogo
 
I have the same laptop and have been using and servicing it for quite sometime now.
Please contact me on 0713968649 and I will sort out your problem as long as the screen is not broken.
 
machinga complex usiende. toa hapa full model ya hiyo laptop yako then tujaribu kuitengeneza.
ila kwa muujibu wa maelezo yako kwa vyovyote mkanda utakua umechomoka wakati mnahangaika nayo ila posibility ya kufa screen bado naona ni ndogo

Screen checkup imefanyika na iko salama
 
Screen iko safi haijapasuka wala kufa pia fundi aliicheki haina prblem, bt now inablinkblink km vile inataka kuonyesha display so sijui nifanyaje, model yake ni dell inspiron 1545 intel pentium inside wakati fulani kabla ya hiyo issue ilikuwa inazima gafla alafu screen inakuwa black then inajiwasha alafu itatoa meseji ya graphics driver error so what I did I tried to find a solution online by updating intel graphics media accelerator driver for mobile, ndo issue iko hivo pls assist me
 
Hatimaye tatizo la display latatuliwa na mtaalamu mmoja kwa jina la Dr.Leaky jijini DSM , asante kwa wote waliotoa msaada wa kupata kujua tatizo na mahali mafundi walipo.
 
Tatizo lilikuwa nini kaka nami yangu ina tatzo kama hilo kaka.
 
May Almighty God Shower You
With His Love
During This Christmas
And Meet All Your Needs
And Elevate You Higher

Happy Christmas
 
Back
Top Bottom