M Mzalendowetu Member Joined May 22, 2012 Posts 87 Reaction score 36 Feb 20, 2014 #1 Ninahitaji mtaalamu atakayenisaidia ku-design landscape kwenye nyumba yangu iliyopo Mbezi Msumi. Nyumba ipo kwenye kiwanja ambacho upande mmoja kuna mteremko na msingi mrefu. Naomba uni-PM kama ni wewe au kuna mtu mzuri katika kazi hii unayemfahamu
Ninahitaji mtaalamu atakayenisaidia ku-design landscape kwenye nyumba yangu iliyopo Mbezi Msumi. Nyumba ipo kwenye kiwanja ambacho upande mmoja kuna mteremko na msingi mrefu. Naomba uni-PM kama ni wewe au kuna mtu mzuri katika kazi hii unayemfahamu