Wakuu habar zenu,
Kijana mwenzenu ambae ni mdogo wangu ni mtaalamu wa kupaka rangi majumbani na maduka hata ushauri anakupa pia naimani kwa bei kamwe hamtashindwana ni mchapakazi haswaaa
Hizo hapo chini ni baadhi ya kazi zake
Mawasiliano yake
067 517 8624.