Naweza kusaidia kwa hilo,niPM jina la biashara yako na inajihusisha na nini,baada ya siku mbili ntakutumia Logo yako..malipo utapanga mwenyew baada ya kuipata...Hii pia ni kwa mwingine yeyote mwenye uhitaji wa logo au vitu vingine kama business cards etc.