Mtaalamu wa ku unlock simu/Internet ili kupata internet isiyoisha

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Hello Gentleman and ladies,
Naomba kuuliza .Hivi inawezekana ku unlock simu aina note 3 niweze kuwa na bundle la Internet lisiloisha .
Msaada please
 
  • Thanks
Reactions: MC7
tigo, halotel, voda, airtel na service providers wengine wanaweza ku unlock cmu yako mkuu ikawa na bundle lisiloisha.. chakufanya we watembelee
 
Habari wakuu

Nina tecno p3 ukiiwasha inaishia katika Logo Ya TECNO tu .

Nimeambiwa ni ya kuflash,kwa Kariakoo sehem. Gani nzuri ntapata huduma hii.
 
Habari wakuu

Nina tecno p3 ukiiwasha inaishia katika Logo Ya TECNO tu .

Nimeambiwa ni ya kuflash,kwa Kariakoo sehem. Gani nzuri ntapata huduma hii.
Umejaribu ku wipe cache na data ikagoma kuwaka?
 
Habari wakuu

Nina tecno p3 ukiiwasha inaishia katika Logo Ya TECNO tu .

Nimeambiwa ni ya kuflash,kwa Kariakoo sehem. Gani nzuri ntapata huduma hii.
Wapelekee tecno ofisini kwao tatizo lako litaisha mara moja
 
Unawezaje ku wipe Cache na Data Mkuu ihali simu haiwaki???
Kwa jinsi ninavyoukuona hiyo kaz ni bora ukatafuta mtu wakaribu akusaidie kuwipe cache na userdata ..ikigoma utumie flash tool kisha unaflash na pc yako...
So far kama unakaa karibu na posta ningeweza kukusaidia.
 
Asanteni wakuu nimeenda kariakoo agrey wameiflash.

Baadaye nikajikuta nataka pagawa baada ya kuona haitachi nikijua wameiharibu kumbe njia mbili zimekatika za mkanda wa tachi.

Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom