Mtaalamu wa Aluminium na Vioo

Mtaalamu wa Aluminium na Vioo

Joined
Sep 1, 2020
Posts
38
Reaction score
53
Karibu Mbezi Aluminium and Glass nyumba yako iwe ya kisasa zaidi. Sisi ni Wataalamu wa kutengeneza madirisha ya Aluminium, milango ya Aluminium, Balcony, Partitions na Makabati ya aina zote.

Tunapatikana MBEZI MWISHO YA KIMARA DAR ES SALAAM. Bei zetu ni nafuu sana, hajawahi kushindwa mteja yeyote. Kikubwa zaidi Mbezi Aluminium and Glass ndo pekee tunatoa offer hizi

1. Kwenda site kupima na kumfanyia mteja tathmini na kumshauri ni BURE.

2. Tunatoa OFA kwenye madirisha ya chooni

3. Usafiri wa kuleta mzigo (kazi) mpaka Site ni juu yetu.

4. Mwisho kabisa unapewa KIOO kikubwa cha kujiangalia chenye fremu yake ya Aluminium BURE, ambapo mara nyingi kinakaa sehemu ya public toilet.

Karibu sana ufurahie huduma zetu nyumba yako iwe ya kisasa.
Mawasiliano ni 0743664260 au 0684617585.

Asanteni sana.
FB_IMG_1598886391967.jpg
 
Kwa mfano ukasema: dirisha la futi 5*5" ni kiasi flani, utapungukiwa nini?
 
Vipi nataka kujifunza angalau huu ufundi je naweza kuja Niwe hata msaidizi wa fundi.​
 
Back
Top Bottom