Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,938
Uko uzi umu watu walikuwa wanauliza kama ule uwekezaji wa kuku uko vizuri ili wajiunge.

Kama uko hapa jukwaani na umelizwa ni vizuri utupe mrejesho. Hii "story" huwezi kuisikia sana sababu watu wengi wanaolizwa mahela mengi mchana kweupe katika hizi fursa za uwekezaji ambazo zina "trend" sana siku hizi wengi wao wanakaa kimyaa ili wasijulikane wamepigwa.

Na mimi nilipigwa katika "fursa" nyingine tofauti na hiyo ya KUKU lakini tulisimama kidete na karibia "kibosile" aliyetuingiza mjini ataenda kunyea debe asiporejesha mpunga wetu.
 
Mi nakuja kuwapiga na fursa ya kanga moja ndembe ndebe ni sha andaa madem wakali!!Busu moja buku!!masaji 2000/=,denda 2000/=!kichwa kikiingia buku,mzamo nusu jogoo hapo hapo buku,zamisha deep hadi kwenye manyoya 2000/=!bao moja 5000/=!?WALE WAKWARE KAMA MIMI KARIBUNI!!!!MADEM NILIONAO WAKALI ILE MBAYA!!USIKU KUCHA 20000/=
 
Sawa ila tunaanza na wewe mwenyewe...nazamisha kichwa tu kwa buku 50,upo tayari?
 
Mi nakuja kuwapiga na fursa ya kanga moja ndembe ndebe ni sha andaa madem wakali!!Busu moja buku!!masaji 2000/=,denda 2000/=!kichwa kikiingia buku,mzamo nusu jogoo hapo hapo buku,zamisha deep hadi kwenye manyoya 2000/=!bao moja 5000/=!?WALE WAKWARE KAMA MIMI KARIBUNI!!!!MADEM NILIONAO WAKALI ILE MBAYA!!USIKU KUCHA 20000/=
Umeongea utumbo!
 
Corona iliposhamiri nikajua obvious hiyo project itakwama , nilikuwa na study mama chanja anavohangaika na soko la kuku wake na ye ni mfugaji wa small scalle.

On a serious note , sijaelewa kwa nini watanzania tunakuwa addicted kwenye kupata pesa kirahisi na tunaishia kupigwa pesa , project haikuwa tofauti na deci yet watu wa kupigwa wamepatikana .
Sent
 
Sikuhizi wanataka biriani za mariamu...shughuli unayo na warembo wako
Mi nakuja kuwapiga na fursa ya kanga moja ndembe ndebe ni sha andaa madem wakali!!Busu moja buku!!masaji 2000/=,denda 2000/=!kichwa kikiingia buku,mzamo nusu jogoo hapo hapo buku,zamisha deep hadi kwenye manyoya 2000/=!bao moja 5000/=!?WALE WAKWARE KAMA MIMI KARIBUNI!!!!MADEM NILIONAO WAKALI ILE MBAYA!!USIKU KUCHA 20000/=
 
Corona iliposhamiri nikajua obvious hiyo project itakwama , nilikuwa na study mama chanja anavohangaika na soko la kuku wake na ye ni mfugaji wa small scalle.

On a serious note , sijaelewa kwa nini watanzania tunakuwa addicted kwenye kupata pesa kirahisi na tunaishia kupigwa pesa , project haikuwa tofauti na deci yet watu wa kupigwa wamepatikana .
Sent
Hujui kama hali ya maisha ikiwa ngumu ndio jinsi gani inakua rahisi kuwabutua raia?

Watu wakiwa desperate na hali ya uchumi ngumu ukatokea useme mtu akupe million 1 urudishe 2 ni ngumu sana mtu kujiuliza sana. Atakupa tu maana hana namna ya kupata hio hela kivyovyote.

Huwezi anzisha DECI watu wakiwa na hela na mzunguko wa fasta ukafanikiwa. Kunakuwa na utulivu wa hali ya juu kiakili katika kufanya maamuzi hayo maana hawana ulazima hela zipo biashara zinaenda.
 
Corona iliposhamiri nikajua obvious hiyo project itakwama , nilikuwa na study mama chanja anavohangaika na soko la kuku wake na ye ni mfugaji wa small scalle.

On a serious note , sijaelewa kwa nini watanzania tunakuwa addicted kwenye kupata pesa kirahisi na tunaishia kupigwa pesa , project haikuwa tofauti na deci yet watu wa kupigwa wamepatikana .
Sent
Hii inakupa tafsiri kwamba shida ya watanzania wengi si mitaji, bali hofu ya kuanzisha project zao binafsi na kuzikuza, wanaishia kudandia fake projects kwa matarajio ya kulinda mitaji huku wakivuna faida
 
Back
Top Bottom