Tobito JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,315 Reaction score 4,177 Aug 15, 2015 #1 Niko Dar, simu inaandika kwenye screen neno android tu muda wote.
Strictly Syrup JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,228 Reaction score 1,831 Aug 15, 2015 #2 Rwazi1 said: niko dar. simu inaandika kwenye screen neno android tu mda wote. Click to expand... Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode.
Rwazi1 said: niko dar. simu inaandika kwenye screen neno android tu mda wote. Click to expand... Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode.
Tobito JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,315 Reaction score 4,177 Aug 15, 2015 Thread starter #3 DreamChaser said: Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode. Click to expand... umetoa mchango mzur wa kitaalam lakin hebu fikiria kama unamwelezea mtu mambo hayo aliyesomea cookery! kama unaweza kuitib nikutafte kikazi
DreamChaser said: Hiyo ni bootloop, na unaweza kuwa umefanya kitu kilichopelekea ku soft brick. Umejaribu wipe data pamoja na cache partition kwenye recovery mode. Click to expand... umetoa mchango mzur wa kitaalam lakin hebu fikiria kama unamwelezea mtu mambo hayo aliyesomea cookery! kama unaweza kuitib nikutafte kikazi
O odara JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 258 Reaction score 53 Aug 15, 2015 #4 Naomba unisaidie ili nijue tatizo la cm yangu linasababishwa nanini ,kila mara inaniletea app kwenye screen na kukatisha kitu nilichokuwa na kifanya yaani inaniboa mpaka nimeichukia cm yangu
Naomba unisaidie ili nijue tatizo la cm yangu linasababishwa nanini ,kila mara inaniletea app kwenye screen na kukatisha kitu nilichokuwa na kifanya yaani inaniboa mpaka nimeichukia cm yangu
Olsea JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 473 Reaction score 297 Aug 16, 2015 #5 Rwazi1 said: Niko Dar, simu inaandika kwenye screen neno android tu muda wote. Click to expand... mkuu..kama utaweza nkuelekeze kama hutaweza basi ukipata muda nione nkusaidie,na mm nipo Dar
Rwazi1 said: Niko Dar, simu inaandika kwenye screen neno android tu muda wote. Click to expand... mkuu..kama utaweza nkuelekeze kama hutaweza basi ukipata muda nione nkusaidie,na mm nipo Dar