Wanajamii,
Nina rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote. Anaomba kama kuna mtu anajua au anajua fundi anayeweza kumodify gari yake ili aweze kuiendesha kwa kutumia mikono-yaani breki na accelerator ziwe controlled kwa mikono. Gari yake ni automatic.
Anaomba sana kwani anashindwa kujipatia mkate wake wa siku kwa kushindwa kutembea.