Mtaalam WA KINGA YA NYOKA

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
Hii ndio Nyumba Maalumu ya Mzee Juma Nasoro, Mkazi wa Miono, Bagamoyo Mkoani Pwani, mtaalam anayeishi na majoka ya kutisha nyumbani kwake.
Mtoto huyu Lazaro Mninga 12, aliyeumwa na nyoka eneo la Chalinze, Pwani na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutaka kukata mguu wake, akiendelea vizuri baada ya kupata matibabu ya uhakika
Huyu ndiye Mzee Juma Nasoro wa Miono anayeishi na Majoka ya kutisha nyumbani kwake.
Hapa akiwa na Mtoto Lazaro aliyeumwa na nyoka Chalinze


Akikagua maendeeleo ya mguu wa Lazaro, ambaye sasa anatembea baada ya kupata matibabu ya uhakika
Mzee Nasoro akiwa na baadhi ya wateja waliofika nyumbani kwake kuangalia majoka.


Hawa ni baadhi ya majirani waliofika nyumbani kwake
Hapa akiwa ndani ya chumba chenye masanduku makubwa ya nyoka wa kutosha


Huyu akimpongeza Mzee Nasoro kwa ujasiri wa kuishi na majoka
Angalia joka hili ni chatu linalokula mbuzi wawili lakini wazima, lazima wawe hai.
 
Huyu Mzee ni noma pale kijijini Miono. Nasikia anayo pia dawa ya kuzuia nyoka wasiingie ndani ya fensi ya nyumba yako. Mtu yoyote mwenye nia mbaya akiwaona nyoka wa huyu mzee huwa anaishia kujiharishia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…