Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,508
- 108,887
NakuPM
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa kuwa hapa JF hatujapungukiwa na kitu katika idara zote, nimeona hili nimalizane nalo hapa hapa.
Nahitaji member mwenzetu hapa ambaye yuko vizuri kwenye graphics design ili aweze kunifanyia design ya company logo, letter head na business card.
Pia nakaribisha mawazo na ushauri mbalimbali kuhusiana na hilo.currently nipo Dar.
Shukrani mkuu, ningependa wengine washushe link kama hii inasaidia kujuwa ni nini ninachohitaji, hii kandarasi wala haina longolongo ni ubora tu ndio nazingatia ndio maana sikwenda moja kwa moja mtaani.Mrafute huyu jamaa anaitwa Logoriddim, ni mzuri sana
angalia kazi zake hapa
LOGO DESIGNER: LOGORIDDIM | BONGO LOGO | TANZANIA LOGO DESIGN | NACHORA NEMBO
Hello! Here I am! Tuwasiliane through jumbenylon@gmail.com au Mob: 0714021078 looking forward to hear from you. Asante
. Mkuu sina online platform ya kuweka art zangu! But I'm working on it! Please provide me with your email nikutumie samplesMkuu kama una link yenye sample kama alivyofanya Kiresua nishushie hapa ni very useful hata kwa wengine wenye huitaji kama wangu.
Asante.
Am serious mkuu zech nimeingia nimeona na am interested too, hebu nipm some info ambazo sijazipata kwenye web.bila kusahau costs.Matola, if you are serious (i mean you really understand that branding will cost you a few dollars) then check this out Home | Ianiverse Designs, otherwise go with a cheaper option.