Walimu wa primary school habarini, poleni Na korona.
Leo napenda tuchangie hii mada kidogo.Hivi kwa sasa tunaelekea wp Na mtaala wetu? Kama mjuavyo tuna mtaala wa zamani unaoishia Drs la 7 ambao wanaoutumia Ni Drs la 7 pekee..Na tunao mtaala unaotumika na walioko unaanzia darasa la 1-6, Na walitakiwa kuishia darasa la 6 kwa mitihani yao ya mwisho.
Je, Wizara mbona Kama halioni hilo maana hakuna hatua yoyote ya kuliweka hilo sawa ikiwemo final exams kW Drs la 6?