Hapo 1- 6 namaanisha je, mhitimu wa kidato cha 6 anajuwa kuandika dawa? Je, anajuwa upasuaji mdogo? Je, anajuwa kusoma ripoti za Maabara? Je, anajuwa kushona nyuzi? Je, anajuwa kudunga sindano? Je, anajuwa kuzalisha mjamzito? Je, anajuwa kuweka dripu?
Wenye Diploma ya Utabibu wakienda Digrii ya Udaktari wapunguziwe miaka ya kozi.
Kwa hiyo nikigoogle naweza fanya hadi operesheni [emoji120][emoji120]Ukisema kwenye kada nyingine sawa ila kwenye udaktari hapana kwanza waongezewe miaka zaidi ya hyo maana wamekuwa vilaza tu makazini mtu unamtajia dalili ana Google sasa si bora niende tu pharmacy nikanunue dawa nitulie home kuliko kwenda kupoteza hela na mda hospital.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wabunge mliwashe kieleweke.
Kada ya afy na kazi zake ni pana sana ndugu especially kwenye jamii zetu hizi ambazo kila uchwao magonjwa yanakuwa mengi hivyo kuna muda kugoogle sio kuwa kuna lack of professionalism hapana ni kuwa kutafuta justification ya kile kilichokuwa suggested katika dalili husika za clients .Ukisema kwenye kada nyingine sawa ila kwenye udaktari hapana kwanza waongezewe miaka zaidi ya hyo maana wamekuwa vilaza tu makazini mtu unamtajia dalili ana Google sasa si bora niende tu pharmacy nikanunue dawa nitulie home kuliko kwenda kupoteza hela na mda hospital.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hujamwelewa mleta mada,punguza kukurupukaUnataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?
Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
tz udaktari bingwa is mpaka uwe umeshamaliza MD uko above umri huo?India kuwa daktari bingwa unaanzia umri wa miaka 21 minimum.
Ana Google mbele yangu mkuu halafu useme sio kilazaKada ya afy na kazi zake ni pana sana ndugu especially kwenye jamii zetu hizi ambazo kila uchwao magonjwa yanakuwa mengi hivyo kuna muda kugoogle sio kuwa kuna lack of professionalism hapana ni kuwa kutafuta justification ya kile kilichokuwa suggested katika dalili husika za clients .
Japo sibishi sana vilaza wapo but huwezi kumuona huko kwenye kugoogle ukilaza wa mtu wa afya hasa daktari kuna maeneo ya kumjua mtu kuwa hiki ni kiazi [emoji3] mazingira ambayo ni vigumu nyinyi clients kuyajua .
Ni ujinga ku Google mbele ya mteja hko chuo mlienda kusomea ujingaKwa hiyo nikigoogle naweza fanya hadi operesheni [emoji120][emoji120]
Linalogoogle mbele yako sio kilaza tu nilijinga maana limeshindwa kuishi na psychology ya client .Ana Google mbele yangu mkuu halafu useme sio kilaza
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mkuu hujanishawishi.
Unamaanisha kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu yuko sawa na kidato cha 6 mwenye Diploma ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu anajuwa yafuatayo?
1. Pharmacology.
2. Surgery.
3. Anatomy and Physiology.
4. Medical Psychology.
5. Lab Technics.
6. Pathology (Bacteriology & Virology).
Hapo 1- 6 namaanisha je, mhitimu wa kidato cha 6 anajuwa kuandika dawa? Je, anajuwa upasuaji mdogo? Je, anajuwa kusoma ripoti za Maabara? Je, anajuwa kushona nyuzi? Je, anajuwa kudunga sindano? Je, anajuwa kuzalisha mjamzito? Je, anajuwa kuweka dripu?
Wenye Diploma ya Utabibu wakienda Digrii ya Udaktari wapunguziwe miaka ya kozi.
Ukisema kwenye kada nyingine sawa ila kwenye udaktari hapana kwanza waongezewe miaka zaidi ya hyo maana wamekuwa vilaza tu makazini mtu unamtajia dalili ana Google sasa si bora niende tu pharmacy nikanunue dawa nitulie home kuliko kwenda kupoteza hela na mda hospital.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Elimu inayoeleweka duniani ni katika mpangilio huu : kutoka primary kwenda secondary kwenda high school au advanced na kwenda chuo kikuu.
Mfumo wa kupitia astashahada( certificate) au stashahada( diploma) ni mfumo ulioandaliwa kwa ajili ya wale walioshindwa kuendana na mfumo wa kawaida na aghalabu wanakuwa wamefeli.
Kutokea kidato Cha sita au high school ni mfumo unatambulika dunia nzima kumuanda mwanafunzi kwa masomo ya chuo kikuu. Mwanafunzi aliyetoka advance na kwenda chuo anakuwa competent sana na mwenye uwezo na uelewa mkubwa sana darasani kutokana na kwamba masomo ya advance yanamuandaa mtu kukabiliana na mfumo wa masomo ya Elimu ya juu.
Mtu unaitwa Pembe unafikiri utakuwa unauelewa mzuri kwanzaHujamwelewa mleta mada,punguza kukurupuka
Kama kuna mtu hataki ahame NCHIClinical officer sio daktari
Hizo ulizotaja hapo anasoma tofauti kbs na MD
Anapiga introductions tu..
Mfano:Anasoma Anatomy bila caddava sasa for unazani uelewa utalingana na MD anaesoma deep
Kwanza MD haina DIPLOMA…
Uwe C/O uwe AMO uwe form6 miaka 5 iko palepale
PERIOD!!!
Mwenye cheti anaitwa clinical assistant na mwenye diploma anaitwa clinical officer.Tujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?
Aidha, kwanini mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada? Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa?
Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.