Mswaki unatakiwa utumike kwa muda gani?

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Ni muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi?
Week, Mwezi au Mwaka?

Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!
 
Ni miezi mitatu.
Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda
 
Ni muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi?
Week, Mwezi au Mwaka?

Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!

miswaki ipo feki na isiyo feki, kuna miswaki wachina wanatoa kwa ajili ya matumizi ya siku hiyo tu mfano ukisafiri safari ndefu kama ni Emirates au makampuni mengine makubwa kwa usiku kucha mnapewa miswaki ya kutumia kwa siku hiyo tu ila wengine huwa tunaficha unatumia hata miezi 5 maana ni mizuri. mswaki ukiununua kwa wafanya biashara wasio changanya bidhaa kwa tamaa au supermarkets bei zinatofautiana mpaka sh 8000 huo wa 8000 unautumia kwa mwaka 1 na nusu tu unaubadilisha mengine yote ya sh 200 ni miezi 2 unatupa, ile ya sh 1000 ni miezi 6 unatupa na uhakikishe una imarisha afya yam domo kwa kuswaki kabla ya kifungua kinywa kila siku na baada ya chakula cha jioni kila siku
 
Nimemkumbuka rafiki yangu mmoja, mswaki wake uliingia chooni, aliutoa akauosha kwa sabuni ya unga then akaendelea kutumia kama kawaida, nilipomuuliza kwanini kafanya hivyo akanijibu "mdomoni kuna bacteria wengi kuliko mdomo wa rivasi"
 
Duh....huyo alikuwa mtumiaji wa mmea pendwa??
 
Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda
Bwana bwana bwana weee... haya mambo mi siyawezi.... cha muhimu usafi tu sifwati izo sheria zako na wala sijawahi ugua au kupata maambukizi ya ngozi wala fangasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom