Nambukwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 243
- 146
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz
Tukirejea definition ya umbea,
Nyepesi anaomba msaada wa vigoma vya uruguai na mkodobwe ili akawasute Saa Tisa na Mumunya.
Habari ziwafikie kamati nzima ya msuto .
Baba V na Bishanga experiense zao msuto zinahitajika.
NB: Mheshimiwa hataki maswali hasa hasa kama tuhuma ni za kweli. Anachotaka ni kufika na kuwasutaaaa kisha muondoke!!
Imeletwa kwenu kwa msaada wa jukwaa la siasa.