newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Habari
Natafuta msusi wa dreads ila awe wa kiume!
VIGEZO!
1. Awe anajua kutwist na kubana style vizuri saaana
2. Awe na style mpya mpya sio zile zilizozoeleka
3. Awe na speed katika kumuhudumia mteja kwa maana anaweza pata wateja wawili kwa wakati mmoja afu akashindwa kuwahudumia wote.
4. Awe anaweza kuwahi ofisini saa mbili kamili asubuhi
5. Ofisi iko wazi siku zote za wiki, aweze kuwepo mda wote
VIGEZO VYA ZIADA.
1. Awe msafi kwa maana ya muonekanao
2. Awe na tabia njema
3. Asiwe mtu mwenye hasira au kupanic haraka maana tunakutana na wateja wa aina tofauti tofauti.
Kuhusu mshahara au makubaliano yoyote yale kuhusu malipo na taratibu nyingine za kazi, tafadhari usisite kunitafuta kwenye hii namba +255 (0) 744 597 493
Ofisi ipo Mwanza Makoroboi