Msusi wa dreads wa kiume anahitajika MWANZA

Msusi wa dreads wa kiume anahitajika MWANZA

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Habari

Natafuta msusi wa dreads ila awe wa kiume!

VIGEZO!
1. Awe anajua kutwist na kubana style vizuri saaana

2. Awe na style mpya mpya sio zile zilizozoeleka

3. Awe na speed katika kumuhudumia mteja kwa maana anaweza pata wateja wawili kwa wakati mmoja afu akashindwa kuwahudumia wote.

4. Awe anaweza kuwahi ofisini saa mbili kamili asubuhi

5. Ofisi iko wazi siku zote za wiki, aweze kuwepo mda wote

VIGEZO VYA ZIADA.

1. Awe msafi kwa maana ya muonekanao
2. Awe na tabia njema
3. Asiwe mtu mwenye hasira au kupanic haraka maana tunakutana na wateja wa aina tofauti tofauti


Kuhusu mshahara au makubaliano yoyote yale kuhusu malipo na taratibu nyingine za kazi, tafadhari usisite kunitafuta kwenye hii namba +255 (0) 744 597 493



Ofisi ipo Mwanza Makoroboi
 
Mwanza maeneo gani na mimi nichangamkie fursa pembeni ya saluni yako. Mimi natokea Tarime na nina mzigo kama wote.
 
Back
Top Bottom