Habari,
Kwa anayehitaji msusi wa nywele za mtindo wa aina zote na kufanya shughuli zote zinazohusiana na urembo na saloon tuwasiliane.
Msusi ni binti wa miaka 24,
anaishi Mabibo_ Dar Es Salaam,ni hodari sana ktk mambo ya saloon na urembo,
na cha zaidi ana uzoefu wa miaka 6 ktk kazi hiyo.
Kwa mwenye kuhitaji huduma yake tuwasiliane kwa:+255655185973 au nipm.
Aksante!