Msumari umegongelewa

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,992
Reaction score
5,969
Masika hii mke wako yupo busy na vikoba na Tamthilia za Azam😆

Wanawake wenye akili wapo shambani

“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani....Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. —Mithali 31:10,16-17”
 
Hizo tamthiliya si zinaanza saa 3 usiku? Kwenu mpaka muda huo hamjala dinner?
Kwa kina mke mwema kote dinner inaliwa saa 1, wakizidi saa 2… waache ma wife wa watu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…