Msukumo wa wazazi.

Usikate Tamaa Focus Kwenye Mipango Yako Japo Ni Ngumu Ila Pambana.
 
Unakosea sehemu moja au Mbili

Kwanza Kabisa Kutendo cha Kukaa Kimya bila Kuwaambia hali halisi iliyokupata hadi ku drop hilo ni Kosa maana hao ni wazazi wako

Hii ni Kiimani zaidi ila Ukiona haifai niachie mwenyewe
[emoji116]
Katika Biashara zako usifanye kwa Riba ni bora pesa hiyo Uizungushe kivingine ila Riba Acha kabisa Mzee, Waachie Banks na Taasisi Kubwa wale iyo Haram wewe Mtu Binafsi usishiriki kuendesha biashara kwa Riba, Kiserekali ni kosa unless uwe na leseni za Kufanya hiyo Biashara

Mwisho kabisa Nikutakie Mafanikio mema ila Ongea na Wazazi wako Uwaeleze ukweli tena ikiwezekana nenda Kwenu kaongee nao Uso kwa uso sio kwa Sim

Naomba Niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…