Msukuma

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,392
3,017
Mimi ni msukuma toka Mwanza, nipo Dar Es Salaam tangu 2006, nimemalza Chuo Kikuu mwaka 2009 na kupata kaz hapa DSM,kaja mjombo wangu kunitembelea jana nilimpeleka Mliman City, fika pale akaniulza kiingilio hapa si ni bei sana? Huku kavua viatu kashka mkonon et atachafua du auncle!!!!!
 
Acha swaga za kuwazalilisha wasukuma coz mi mwenyewe msukuma na nina wajua wasukuma tabia zao nahisi huyo ni msukuma wa shy town sio mwanza.
 
Mimi ni msukuma toka Mwanza, nipo Dar Es Salaam tangu 2006, nimemalza Chuo Kikuu mwaka 2009 na kupata kaz hapa DSM,kaja mjombo wangu kunitembelea jana nilimpeleka Mliman City, fika pale akaniulza kiingilio hapa si ni bei sana? Huku kavua viatu kashka mkonon et atachafua du auncle!!!!!
Ur so much mjinga, why did u let ur mjomba do that? U was sapozidi to let him know. Shem on u
 
Mimi ni msukuma toka Mwanza, nipo Dar Es Salaam tangu 2006, nimemalza Chuo Kikuu mwaka 2009 na kupata kaz hapa DSM,kaja mjombo wangu kunitembelea jana nilimpeleka Mliman City, fika pale akaniulza kiingilio hapa si ni bei sana? Huku kavua viatu kashka mkonon et atachafua du auncle!!!!!

utakuwa umemaliza chuo cha kata mana hata kuandika huwezi,
au umemaliza choo kikuu
 
Dully Jr ukiw na watoto 5 usifiri wote watakua na akili timamu, kukose ni moja ya hatua ya kujifunza, una IQ ya chn sana ndugu yangu, acha kulopoka hukulazimishwa kunijibu,unaweza nitajia moja wapo ya chuo cha kata?

Back
Top Bottom