nshawahi fanyiwa baadhi ya mambo yaliyopo kwenye hiyo chart hapo juu, ila nilikuwa ndani ya mahusiano, baada ya kuachana alitaka kuendeleza mawasiliano, mara atume picha, mara aniambie amelazwa, majibu yangu yalikuwa awasiliane ana alie mimi siitaji kuwasiliana nae,na akiugua amjulishe alienae mimi sina msaada, nilikuwa mkorofi sana kwake baada ya kuachana, kilichobaki siku hizi ni salamu tu tena tukikutana njiani.
hivi unaweza kufanywa msukule ukiwa mapenzini