The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Njia rahisi na salama ni kufanya installation ya stockrom,hapo tatzo lako litakuwa umelitatua.Hakikisha unafanya backup ya vitu vyako kwanza kabla ya kuendelea na hpo zoezi.Habari zenu wakubwa.
Naomba msaada jinsi ya kuondoa root kwenye sim ya galaxy s8.
Nitashukuru kama nitapata msaada unaoelekeza mwanzo mwisho jinsi ya kuondoa root maana mimi sio mtaalam wa haya mambo ya simu.
Ahsante.
Sijairoot mimiUliroot kwa njia ipi?
Ndio unafanyaje mkuu.Njia rahisi na salama ni kufanya installation ya stockrom,hapo tatzo lako litakuwa umelitatua.Hakikisha unafanya backup ya vitu vyako kwanza kabla ya kuendelea na hpo zoezi.
1. Uki flash stock rom unaondoa rootHabari zenu wakubwa.
Naomba msaada jinsi ya kuondoa root kwenye sim ya galaxy s8.
Nitashukuru kama nitapata msaada unaoelekeza mwanzo mwisho jinsi ya kuondoa root maana mimi sio mtaalam wa haya mambo ya simu.
Ahsante.
Mkuu ndio nafanyaje?1. Uki flash stock rom unaondoa root
2. Ukitaka kubakiza custom recovery ila uondoe root, basi uninstall root manager yako ulioinstall sijui ni magisk au supersu
Uo ujumbe wa kuwa rooted una kuathiri kufanya jambo lolote kwenye iyo simu?Mkuu ndio nafanyaje?
Maana hii sim nimepewa na mtu sasa leo katika kufanya configuration ndio nikaambiwa iko rooted.
Kwa ujumla mimi sio mtaalam na haya mambo. Naomba muongozo
??? Dah sasa si uulize kwa upole ndugu yangu. Unauliza kibabe huku haujui?Kwa nn u root[emoji848] tuanzie apo kwanza
Ndio, nilikua najaribu kuregister iris ikaniambia sim iko rooted haitawezekana.Uo ujumbe wa kuwa rooted una kuathiri kufanya jambo lolote kwenye iyo simu?
Hapo mkuu inabidi u flash stock rom. Kama huna uzoefu peleka kwa fundi akuflashie stock, au mtu yoyote unaemjua mwenye utaalamu,Ndio, nilikua najaribu kuregister iris ikaniambia sim iko rooted haitawezekana.
Mkuu huwezi kunielekeza nikajua?Hapo mkuu inabidi u flash stock rom. Kama huna uzoefu peleka kwa fundi akuflashie stock, au mtu yoyote unaemjua mwenye utaalamu,
Umeroot sim yako kwa njia gani? Kama ni super SU basi nenda kweny super su app kisha fanya full unroot,kuna hyo option paleNdio, nilikua najaribu kuregister iris ikaniambia sim iko rooted haitawezekana.
Kukuelekeza ni hiviMkuu huwezi kunielekeza nikajua?
Habari zenu wakubwa.
Naomba msaada jinsi ya kuondoa root kwenye sim ya galaxy s8.
Nitashukuru kama nitapata msaada unaoelekeza mwanzo mwisho jinsi ya kuondoa root maana mimi sio mtaalam wa haya mambo ya simu.
Ahsante.
Nimejaribu kuangalia root access nimeambiwa not properly installedPana app za ku-unrootia. Zingine feki. Miye moja ilifanya nibrick hardware.
Nimejaribu kuangalia root access ni.eambiwa not properly installed. Maana yake nini?Umeroot sim yako kwa njia gani? Kama ni super SU basi nenda kweny super su app kisha fanya full unroot,kuna hyo option pale
Kama ni magisk nenda ka hide hyo iris kweny magisk manager,,wala huitaj ku unroot