Habari zenu wakuu!!
kabla sinaenda kwenye mada husika, ninatunguliza swali langu, nime-update operamini yangu ya zamani na sasa ninaitumia mpya. shida inakuja pale ambapo ninashindwa ku-save pages zangu ili kuweza kuzisoma nikiwa offline. kwa yeyote ambaye anaweza kutupa maelekezo ya namna ya kufanya hapa jamvini nitashukuru sana. asanteni...