msosi wa nguvu

Wapi hiyo Ug au Bk?,au ndio kule mahome kolomije???
 
Kama sio bk au ug basi kilimanjaro nasikia huko napo wanapenda ndizi
Mmmmh!!!Kwa kilimanjaro kweli wapenda ndizi lakini sidhani kwa mapigo hayo labda ingekuwa ni nyama mbuzi/ng'ombe,ndizi choma.
 
Ila wana moyo kula hivyo aah kazi kweli
Mmmmh!!!Kwa kilimanjaro kweli wapenda ndizi lakini sidhani kwa mapigo hayo labda ingekuwa ni nyama mbuzi/ng'ombe,ndizi choma.
 
Ndio maaana dada zetu wamejaliwa mishep... Huwezi linganisha dada zetu na mabinti kutoka sehemu nyingine yeyote hapa nchii. Hata Wanyaki wako wapo tu. Wanene kuanzia chini mpaka juu. Ila dada zetu wee, hipsi,hipsi, tako, tako, guu, guu, titi ndogo, ila sura tu, hapo ndipo Mwenyezi kawaonea...
 
Kama sio bk au ug basi kilimanjaro nasikia huko napo wanapenda ndizi
Sio ndizi za aina hiyo, alafu KLM maendeleo ni ya hali ya juu sana, yaani kama ulaya flani hivi!
 
Hahahaha unaoa afu unapata toto ya kiume, malizia mwenyewe
 
Acha uongo,kilimanjaro ipo Tanzania. Hayo maendeleo ya ulaya ni ndoto
Sio ndizi za aina hiyo, alafu KLM maendeleo ni ya hali ya juu sana, yaani kama ulaya flani hivi!
 
Acha uongo,kilimanjaro ipo Tanzania. Hayo maendeleo ya ulaya ni ndoto
Nikudanganye wewe nipate faida gani ndugu yangu, nenda Moshi vijijini kajionee mwenyewe, kwa nini kuandikia mate na uwino upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…