B baba gabi Member Joined Apr 11, 2022 Posts 12 Reaction score 10 Jun 27, 2025 #1 Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao?
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,785 Reaction score 46,644 Jun 27, 2025 #2 baba gabi said: Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao? Click to expand... Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu. Au nenda private. Kupima VVU bila ridhaa sioni kama ni jambo baya. Hujaburuzwa sokoni ukapime, umepimwa mazingira sahihi.
baba gabi said: Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao? Click to expand... Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu. Au nenda private. Kupima VVU bila ridhaa sioni kama ni jambo baya. Hujaburuzwa sokoni ukapime, umepimwa mazingira sahihi.
B baba gabi Member Joined Apr 11, 2022 Posts 12 Reaction score 10 Jun 27, 2025 Thread starter #3 T14 Armata said: Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu. Au nenda private. Kupima VVU bila ridhaa sioni kama ni jambo baya. Hujaburuzwa sokoni ukapime, umepimwa mazingira sahihi. Click to expand... Kwahiyo wanapima bila kutoa ushauri na nasaa?
T14 Armata said: Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu. Au nenda private. Kupima VVU bila ridhaa sioni kama ni jambo baya. Hujaburuzwa sokoni ukapime, umepimwa mazingira sahihi. Click to expand... Kwahiyo wanapima bila kutoa ushauri na nasaa?
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,668 Reaction score 65,226 Jun 27, 2025 #4 Kama hutaki kupimwa bakia nyumbani, kunywa mwarobaini. Lkn ukisogeza pua hospitalini ni lazima utapimwa ili kuona kama unafanya ukahaba na umeambukizwa vvu ama la! Hii inalisaidia taifa kupata takwimu za maambukizi ya vvu.
Kama hutaki kupimwa bakia nyumbani, kunywa mwarobaini. Lkn ukisogeza pua hospitalini ni lazima utapimwa ili kuona kama unafanya ukahaba na umeambukizwa vvu ama la! Hii inalisaidia taifa kupata takwimu za maambukizi ya vvu.
Gamondi JF-Expert Member Joined Sep 7, 2024 Posts 227 Reaction score 374 Jun 27, 2025 #5 baba gabi said: Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao? Click to expand... ungepimwa presha bila ridhaa ungelalamika? au kwa sababu kupata ukimwi kunanasibishwa na ngono? na kwanini usipimwe ili uijue status Yako.
baba gabi said: Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao? Click to expand... ungepimwa presha bila ridhaa ungelalamika? au kwa sababu kupata ukimwi kunanasibishwa na ngono? na kwanini usipimwe ili uijue status Yako.