Msongamano wa magari Dubai.

Shida. Hakuna matatu au daladala. Subaru, Toyota sijui pickup. Au sioni vizuri. Peoples.
 
Mazee hizo gari ni kama kwa zile racing roads si za kwa public roads.
 
Kuna corola limited za kutosha Dubai. Hapo ungeziona kama nane hivi sijui wanazipendea nini. Hiyo foleni ina lake jambo.
 
Hii nadhani wamiliki wa super cars walikutana pamoja kwenye event zao huwa wanaandaa monthly. Nimeona Dubai wanaandaa sana event kama hizi kwaajili ya super cars
 
Hizo siyo picha za dubai hakuna sehemu au barabara kwa pale dubai zinapita gari za aina moja kama ulizoweka hapo kwanza magari ya aina hiyo kwa dubai siyo mengi kiivyo, wale jamaa wana magari ndugu yangu mazuri halafu makubwa japokuwa na madogo yapo lkn siyo model hiyo many of them are luxury cars, hadi taxi za hapo dubai ambazo zinamilikiwa na serikali ni nzuri na mpya kwani hakuna mtu binafsi anaruhusiwa kufanya biashara ya taxi hapo dubai, gari inayotumika pale dubai kama taxi ni luxury ambapo ukiiona huku kwetu basi anatumia mtu mwenye uwezo kifedha kabisa, mfano zipo toyota camry nk lkn zinakuwa mpya siyo used mkuu
 
Hii nadhani wamiliki wa super cars walikutana pamoja kwenye event zao huwa wanaandaa monthly. Nimeona Dubai wanaandaa sana event kama hizi kwaajili ya super cars
 
Wewe jamaa unachekesha......eti Dubai wana magari wakubwa mazuri.

Sasa wewe umeshindwa kutambua hapo kwenye picha ni super cars? Tena mengine hapo ni hyper cars kabisa. Hayo ndiyo magari ya bei expensive mengine hapo hadi usd 2m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…