YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Wasomi wengi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa
Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.
Vijana wengi wasomi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.
Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!
wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko
Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.(BIDHAA YOYOTE UNATAKIWA KUIWEKA MAHALI INAPOUZIKA -PRODUCT POSITIONING)
Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM