Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Apr 18, 2011 #21 MTM said: Kile kitufe cha crap aka groan kiko wapi jamani?? Click to expand... Hata na mimi nakitafuta. Viranja wa ukumbi tafadhali kirudisheni
MTM said: Kile kitufe cha crap aka groan kiko wapi jamani?? Click to expand... Hata na mimi nakitafuta. Viranja wa ukumbi tafadhali kirudisheni
MANAMBA Senior Member Joined Jan 16, 2011 Posts 169 Reaction score 18 Apr 18, 2011 #22 Rejao said: Hivi ukifika tu chuo kikuu unakuwa msomi? Naombeni mwongozo kuhusu maana ya neno msomi!! Click to expand... Msomi ni yule aliye elimika na anaye tumia elimu yake kwa faida ya UMMA
Rejao said: Hivi ukifika tu chuo kikuu unakuwa msomi? Naombeni mwongozo kuhusu maana ya neno msomi!! Click to expand... Msomi ni yule aliye elimika na anaye tumia elimu yake kwa faida ya UMMA
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Apr 18, 2011 #23 Ilikuwa nusura afe njaa..............mafisadi walikuwa wanamuwezesha naye akaamua kuwatukana sasa kalamba matapishi yake.........kweli mafisadi wana nguvu kwani wameiteka serikali sembuse mtu mmoja tena kutoka kayudom?.............
Ilikuwa nusura afe njaa..............mafisadi walikuwa wanamuwezesha naye akaamua kuwatukana sasa kalamba matapishi yake.........kweli mafisadi wana nguvu kwani wameiteka serikali sembuse mtu mmoja tena kutoka kayudom?.............