Masai karibuni Msomera. Kutoka Boma la majani mpaka nyumba ya Block, Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, Free Wi-Fi l ballna ardhi yenye rutuba. Mpewe nn tena.
Hao wanaharakati wana wadanganya hao masai bora wakubali kuhama tu wakaishi ktk maeneo yao rasmi ambayo watayamiliki siku zote daima kuliko kung'ang'ania eneo ambalo wanalijua kabisa serikali wanalitazama kwa jicho pana ili kuweza kuingiza pesa za kigeni.
Kijumla mnyama ana thamani kubwa kuliko mmasai.