Ki ukweli hii stori inafundisha sana , ila mabinti wa kisasa wanapenda sana miterezo si ajabu mkasota wote akaja kukuacha baada ya kukutana na mhuni tu aliye azima gari kwa baba yake akakuacha wewe uliye na baiskeli yako , asante mtoa mada

Mmmmh!! Na wanaume wanaosota na wake zao alafu wakizipata wanawageuka wake zao unawaweka kundi gani!!
Unafikiri hata ongezeko la vijana wadogo kuwakimbilia wanawake wenye umri sawa na mama zao kisa ni nini kama sio kupenda mtelezo?