Kuelewa story za Mentor inabidi uwe na akili kubwa.Hata sijaelewa story inahusu nini exactly.
Dhamira kuu ni ipi hasa...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wacha niendelee kuburudika na hili jinyimbo.....
..... baby PANA...... baby PANA. ...... (being in love with the music....)
It's Friiiiddaaaaayyyyyyyyyy!!!!!!!!! iiiiiiimooooooooo....!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!Najua umependa hapa tu...
"Baby Pana
They say you like cassava
I get big cassava
Baby Pana"
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hata wewe najua sehemu unayopenda kwenye huu wimbo...
"Baby Pana
They say you like wahala oh
I get wahala oh
Baby Pana"
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kawimbo katamu kinoma noma.
Duh haka kawimbo kumbe katamueee. Asante sana Kasinde!
Halafu kanafaa ku-DAB nako yani mpaka raha.
Dedication kwa all man utd fans...@belo, herrera, RRONDO, everlenk, BelindaJacob , billduke, Iceman 3D , Bavaria, Bailly5 , sister, et al..
Special dedication: Heaven Sent - we got you sis!!!! [HASHTAG]#pana[/HASHTAG]
Woga tu wa maisha Kiongozi. Mi wangu wa ujanani wala sikumkataa, na niko naye bega kwa bega mpaka leo hii. Yuko Form 4 (boarding) mwaka huu, na she id doing the best katika darasa lake. Nilimwambia niliyekuja kumuoa kuwa, huyu ni wakwetu, akalitambua hilo. Na ssa maisha yansonga.Duuuh mbona hii stori kama ya Honey Faith na RRONDO!???
Anyway, to be honest inashtua! Duh mi sijui vijana huwa tuna tatizo gani...ni wepesi sana kumwaga ndani ila inapokuja kulea matokeo tunakuwa wagumu sana aisee..I don't know why!!!
inawezekana kabisa usemacho....Ila kama ni kigugumizi mbona wengi huwa hawajirudi baada ya muda?
Ninafahamu wadada wengine watatu ambao mpaka sasa watoto wana - miezi 9, miaka 2, miaka 5 - na hao wanaume mpaka leo hawajui watoto wao wakoje!
Kawimbo katamu kinoma noma.
Jamaa hajawahi kukosea...alivyo na mambo makubwa anayoyafanya wala haviendani.
Ooooh ngoja nami niudedicate to all Arsenal fans
BAK
mauzauza
UrbanGentleman
Kazitunayo
Aaron
mtoto wa afrikaa
Richard
Na wengine wooooote!
Ila Mentor wewe si Chelsea?Au nimepoteza kumbukumbu?
Weekend njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.Nifah I know your love is beutiful ila unaniacha hoi pale ninapoomba kwa vitendo..najua mvumilivu hula mbivu..acha tusubiri wasaa mzuri