Msiwe waongo!

Msiwe waongo!

Mashosho

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
35
Reaction score
13
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.
 
Kwa ubahili wako kila siku utaishia kuwaona wanawake wazuri wakiwa nawanaume wengine utaishia kuwaita mashemeji kila siku.
Poyeeeeeeee
Hivi kuhonga kukoje? Na mtu unaanza anzaje kuhonga?
 
Kwa ubahili wako kila siku utaishia kuwaona wanawake wazuri wakiwa nawanaume wengine utaishia kuwaita mashemeji kila siku.
Poyeeeeeeee

Kwani ninashida na wanawake wazuri mimi?

Ni heri niwe bahili ili niendelee kuwa tajiri kuliko kumhonga mwanamke kwa starehe ya dakika mbili.
 
Aiseee. Kumbe?
 
Utajiri wa kushinda jf????
Komaa nao hao hao wenye sura kama ......haangaliki mbele wala nyuma......
Kwani ninashida na wanawake wazuri mimi?

Ni heri niwe bahili ili niendelee kuwa tajiri kuliko kumhonga mwanamke kwa starehe ya dakika mbili.

na wewe kuku?maana kuku ndo ana starehe ya dakika 2
 
Utajiri wa kushinda jf????
Komaa nao hao hao wenye sura kama ......haangaliki mbele wala nyuma......

Sina kazi zaidi ya kushinda JF na kuponda raha Punta Cana, St. Tropez, na Tribeca

na wewe kuku?maana kuku ndo ana starehe ya dakika 2

Mi simba wa nyika.
 
Maneno ya mwanaume fisadi...

Ukiona mwanaume anatetea habari za kuhonga ujue hana hulka ya kutulia na mwanamke mmoja...

Kwa kifupi anaamini mwanamke ni chombo cha starehe na thamani yake ni hiyo pesa aitoayo...

Mwanamke yoyote mwenye ku-entertain kuhongwa ni kwamba hajielewi...
 
Tusingeingia jf Ungekuwa na nauli ya kuja tu bongo kwa mwaka mara 1 bila madeni huko tusingepumua.

Sina kazi zaidi ya kushinda JF na kuponda raha Punta Cana, St. Tropez, na Tribeca

Mi simba wa nyika.
 
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.

Hongo ni neno kubwa, na kuhonga wanahonga wale ambao wanataka huduma ya penzi kukidhi haja zao fasta fasta na hawana mpango wa muda mrefu na hao watu. Lakini kama una mpango na mtu wa kuwa msichana wako au mchumba au mke baadaye, huwa hatuhongi mkuu, tunamwaga sera baadaye, ndo utatupia vijizawadi kuimarisha pendo. Saa ingine kwa baadhi ya wadada wanaofikiria mbele zaidi, ukijaribu kumhonga inaweza kuwa ticket ya kupigwa kibuti.
 
Best hapo tunapishanaga mimi na wewe
Maneno ya mwanaume fisadi...

Ukiona mwanaume anatetea habari za kuhonga ujue hana hulka ya kutulia na mwanamke mmoja...

Kwa kifupi anaamini mwanamke ni chombo cha starehe na thamani yake ni hiyo pesa aitoayo...
 
baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.

My take: tumi hela upate kichongeo hehehheeee..
 
Best hapo tunapishanaga mimi na wewe

Hahaha ukweli siku zote huwaweka watu huru...

Nini sababu ya mwanaume usiye hata na future naye kukuhonga?

Ili umwachie 'k' aipuyange au ni kwa kuwa unahitaji hela?

Kwa nini kama mwanamke usijitegemee kiuchumi...

Hivi unajua kuwa wanaume huwaheshimu na kuwakubali wanawake wasio warahisi rahisi...haswa wale wenye kiujitegemea...

Kama ni mpenzi au mke wangu, yes nitakuhudumia kwa kadiri ya uwezo wangu na kwa kadiri ya majukumu yanihusuyo tu...

Siwezi toa hela yangu kwa mwanamke ambaye nikigeuka upande wa pili nishamsahau....kwanza atanitilia nuksi tu hela zangu.
 
E ondoka apa na goyalo we!
Sisi wengine hatuna muda wa kuhonga, tunaacha hela kwa matumizi muhimu ya familia!
Ndege wakwangu mwenyewe manati za nini?

baadhi yetu wanaume ni waongo sana. hivi kweli mwanaume timamuaweza danganya kuwa yeye haongi? Nijuavyo mimi wanaume wote tuntoa rujua kupata kile tutakacho kwa mwanamke hata akiwa wa ndoa ilatunaona aibu kukubali kuwa tunahonga kwa vile tunajidanganya kuwa sifa ya mwanamume ampigishe mwanamama mdomo mpaka ajilaze kama ngamia wa kuchinjwa. Mwe! siwajui walalao bila walau rushwa kwa ahadi. Wanangu achene kudanganyana sifa ya mwanababa ni kuhonga si kupiga domo tupu utashangaa wenzio wanajibebea wewe upo tu na maneno yako mengi! Honga mwanaume uujue utamu.
 
Mwanamke yoyote mwenye ku-entertain kuhongwa ni kwamba hajielewi...
Mkuu!
Hapa kazini ma sister duuh wote wamenishtukia kuwa "mm ni mali-kauli" na tayari hawa 3 wameniambia live kuwa hawataki kuja gheto kwani wana uhakika wataondoka bila chochote!

Kibaya zaidi huyu mmoja nakaa nae mtaa mmoja so kaja hadi kuwaambia mademu wa kitaa kama mm sio mtoaji!

Maneno kama mwanamme halisi haongi yapo kwenye nadharia tu na ukiyaendekeza ma sister duuh wote wakali utakuwa unawaita shemeji ahahah!
 
Kuna mashemeji wanzimaga taa.... Kiuweli, ukiona mwanamke anapenda sana kuhongwa, basi ujuwe huyo si wa kutulia na mwanaume mmoja. Kwa sababu si kila mwanaume atahonga kila siku, so siku ya kutohongwa, hawa akina amu hawakawii kwenda kuhongwa kwinginw hadi hapo atakapopata uhakika kuwa upo tayari kuhonga tena na tena na tena
 
Naam swadakta sana kaka mkubwa na umemjibu kwa uzuri huyo ndugu yangu maana nilitaka kumjibu sawa sawa na ulivyomjibu neno kwa neno...

Back
Top Bottom