Habari zenu wana jamvi,
Kiukweli mimi nawapa pole za mizunguko ya siku na nawapa pole na changamoto za maisha ya mahusiano na changamoto za mabosi kwa mlioajiriwa,hii mada imeshadiscusiwa humu nda mara nyinyi na lakini naomba nilete maisha haya kwenu! Iimekuwa kama fashion kusalitiana siki hizi jamani sijui tatizo ni nini,haya ni maisha halisi ya huyu wangu.
Hawa vijana wenzangu walianza mahusiano nikiona na kijana wa kiume huyu aliinekana sana mwaminifu na kumsuhi kijana mwenzie wa kike atulie ili waje wawe na familia bora katika maisha yao ya ndoa.Katika mwaka mmoja wa mahusiano hamna hata dalilu ya kucheat iliyoonekanika.
Lakini kiukweli huyo kijana wa kiume alikuwa na mchepuko wake wa nguvu kilande cha bidada wale waliokwisha kukata tamaa ya kuolewa but hawakuwa na future,mara nyingine kijana wa kike akakuta sms za mwanamke kwenye simu na kumuuliza alikataa kata kata.
Kumbe ulikuwa mchepuko no.2 huyo wa kwenye sms za kwenye simu kiukweli yule bi shot a.k.a.mchepuko no 2 ukaanza kumpigia simu huyu bint wa kike kumtukana from no where.Let kijana wa kiume awe Y na wa kike X ili kupunguza maneno.Baada ya mchepuko no.2 kumpigia X yaan x wala hakuwa anaelewa tatizo ni nini na ukiangalia X hana maneno mengi zaidi ya kulia na kuwa na hasira nyungi Y alitumia akili nyingi sana kumwonesha kuwa mchepuko no.2 ulikuwa unamtaka na hana ussue naye.
Bas X alimpenda sana Y wakaendelea kama kawaida lakin X alifuatilia chinichini kuhusu huo mchepuko na kugundua kweli alikuwa mchepuko but Y alikataa na x ikabidi awe mpole.Wakati huo huo Y anamwambua X jitunze usimpe mtu hata sikumoja maana saivi kuna maradhi mengi so tujitunze.
Kiukweli X alikuwa msikivu mnoo na mstaarabu mpaka marafiki wa Y wakawa wanamsufia kuwa amepata mwanamke maana hakuwa na gharama hata kidogo japo Y alikuwa na kazi ya maana mnoo take home 2m+ cha kushangaza kwa kipindi chote cha 3yrz+ Y hakuwai hata kumtoa out X wala shopping ya even 50 thousand X alikuwa na kipato cha kawaida cha hela ya kula but ni mtu wa kusave mnoo.
Namaanisha mnoo jamani! yaani katika yote hayo kumbe Y ana michepuko mingine kibao ambayo pia X aliitaka na alivyouliza alikataliwa na kuambiwa siyo ukwel so X aligundua michepuko mitano japo mingine hakuijua kabisa.Sasa cha ajabu huyu Y alikuwa kila mchepuko wake anaupa background ya X na kusema mimi ni wa kwanza nitamuoa.
Na nampenda sana plus anafanya wapi kazi inshort ni Cv nzima ya X aliitoa kwa mchepuko yake hata x akisafiri au likizo mchepuko unapewa taarifa! kweli Mungu si athumani sasa yule mchepuko no moja kumbe ule ndio mchepuko parmanent na mpaka hivi hapa Mungu kawajalia kabinti.
X aligundua hiyo movie ya ujauzito na kila akiuliza Y anakataa kabisa Mungu alivomkubwa X alienda mkoani kikazi for 4 month!kurudi alipamba sms kwenye simu mchepuko umetuma "mtoto anaumwa uje na dawa "Basi jamaa alizidi kukana baadae X alipandisha hasira za kimasai na Y ailibidi aseme ni kweli nina kwani unataka nini?
Kama kawaida baada ya ugomvi mkubwa X na busara zake akamwambie naomba iwe mwisho wewe lea familia mimi siwezi tena kuendelea na wewe maana mchepuko wako ni wazamani toka tukiwa na mahusiano ya miezi mitano saivi 3yrz plus.Sasa Y analia kiukweli anaomba X amsamehe waoane.
Kwani walikuwa wanajulikanika mpaka kwa wazazi na walipanga kufunga ndoa mwaka huu X amekataa na hataki kwani amuemia sana baada ya kugundua alikuwa kwenye mtandao wa ngono!yaani analia kwa uchungu mnoo kwanini Y Aliamua kufanya yote hayo?
Hajui kosa na kila akimuuliza y, y analia tu akuomba msamaha! kweli kazaa na bidada/jimama kwani kamzidi Y kiumri na ni kwamba ni mtu na hela zake pia X analia hajui cha kufanya na lakini na anajutia muda wake Iv wanaume mna nini? Maana X ni mzuri mrefu shingo ya twigwa well curved mzuri na natural beuty,huyu jimama ni manyama uzembe natamani niweke hata picha but siwezi kuweka!
Cha kushangaza Y anataka amuoe X very soon na marafik wa Y wanadirik kumwambia X usaliti ni tabia za wanaume wengi mara ni ujana tu msamehe atarekebushika maneno kibao Mimi kiukweli nimemwambia X mwanaume kakudanganya 3yrz plus ukaingie naye kwenye ndio kisa nini? Nimemwambie atupe kule ni mawazo yangu.
Nawasilisha kwenu kwa majadiliano jamani.Naombeni ushauri wa busara kwa hili.
Karibuni