Msivunje Muungano-Dr Billal

Msivunje Muungano-Dr Billal

..wazanzibari wanaopinga muungano wanapaswa kupaza sauti zao ndani ya bunge la muungano.

..tatizo wabunge wa ZNZ na wananchi wa kawaida wa ZNZ wakishafika huku Tanganyika wanapagawa na opportunities wanazozipata.

..labda niwape mfano wa Hamad Rashid Mohamed. sasa hivi anahangaika huku Tanganyika kuleta wawekezaji ktk masuala ya ujenzi wa nyumba na uzalishaji mbolea. Hamad Rashid angebaki ZNZ asingeweza kupata mradi wa kutapeli kama huo.

..mwingine ni Mzee Alli Hassan Mwinyi, ana mashamba makubwa makubwa huku Tanganyika. Huwezi kupata pande kubwa la ardhi ZNZ ukalima au ukapangisha kama huku Tanganyika.

..Mohamed Bakhresa naye ametajirika kutokana na biashara zake kuwa na soko kubwa huku Tanganyika. sidhani kama Bakhresa angekuwa hapo alipo bila makampuni yake kuwa na base huku Tanganyika.

..hata ZNZ ya enzi za SULTANI ilineemeka kwa DAMU ya WATUMWA toka Tanganyika, na biashara hiyo ilipokufa ZNZ iliendelea kuneemeka kwa JASHO la WAKWEZI na WAKULIMA toka Tanganyika.

..waZNZ wanaopinga muungano wako nje ya ZNZ au hawajapata kufika huku Tanganyika na ku-explore the opportunities that are available for them.

NB:

..masuala ya muungano yanashughulikiwa na ofisi ya makamu wa raisi.

..katika awamu hii makamu wa raisi, pamoja na waziri mwenye dhamana ya masuala ya muungano, wote ni wazanzibari.
- Wazbar wamejaa kigamboni wakifayatua matofali na kufanya uvuvi. Hawakuchagua kufanya hivyo Zbar

-Wana majumba ya kupangisha ambayo wasingeweza kuyapangisha Zbar kwa udogo wa uchumi na soko

-Wapo bara wanasoma buree na hakuna anayewauliza. Elimu hasa ya juu si miongoni mwa yale 11

-Wanaingiza makontena na soko lao lipo bara, hakuna anayewazuia

-Wanapata upendeleo wa kuingia vyuo vya elimu ya juu kwa 'quarter' na si ushindani hata kama wana D za kutosha

-Wanafanya kazi na wamejaa maofisini, hakuna anayewabughudhi

Kama umesoma raia mwema kuna yule mwandishi mwenye nywele zinazofanana kidogo na za sultan, yeye kila siku anawadanganya wenzake. Anasema eti ameongea na mabalozi na wamemhakikishia kuwa wapo tayari kusaidia Zbar ikijitoa katika muungano.
Huyu mpuuzi hajafikiria kuwa Haiti ipo KM 300 kutoka Washington, Cyprus ipo KM kadhaa kutoka London n.k Asichoweza kufikiri mwandishi yule ni kuwa Wazungu hawapendi Wazbar wanapenda Zbar na ukiona hivyo ujue kuna wanachokitaka.

Sasa tunasikia wanamkakati wa kwenda Uarabuni! Huko masikini 'watageuza' kuwa wake kwasababu hata Mwarabu mwenye nywele za kiarabu na lafudhi ya kiarabu midhali hakuzaliwa kule basi huyo ni Habiti.
Habiti ni neno wanalotumia kuwatukana Waafrika kama Niga kule US, na huko uarabuni lina maana ya Watumwa.

Wbar hawajiulizi wao na Wayemeni nani mwarabu zaidi, hivi kuna anayeweza kuwa 'mkatoliki zaidi ya popo'.
 
Wafykuzeni wote wazanzbari na wachina na wakongo wakenya,wahindi wazungu,ikisha wekeza wewe jasho lako ?

Hamana hoja scraaaap,
 
Anautaka Muungano ili kulinda Cheo chake,tofauti na Muungano hana chake huyo

muungano ukivunjika, atabaki kama mzee boris yetsin... nobody in his right mind would like that to happen to him
 
Kama ni uarabuni ni kazi za u housegirl/boy..waarabu . Ni wabaguzi hasa...

Wawaulize walio huko wanaishije

Mbona Barubaru anadai yeye ni Hospital administrator?? In maana anazuga tu, maana huwa anashinda humu!!
 
Wafykuzeni wote wazanzbari na wachina na wakongo wakenya,wahindi wazungu,ikisha wekeza wewe jasho lako ?Hamana hoja scraaaap,
Kama hakuna ipo wapi ya kwako? Najua unajua ni ukweli na unauma lakini ufanyeje sasa. Hakuna sababu ya kuwafukuza watu wasio na kelele, tunachosema hapa ni kuwa Wzbar ni maneno tu wakati wanajua wazi kuwa muungano una masilahi kwao zaidi kuliko mbara.

Siku zote nasema kama mnaona adha, mnafanya nini huku, kwanini msirejee kwenye nchi ya neema matakapoletewa mayai na maini kutoka uarabuni. Hawa wanaoukataa muungano ukiwaangalia wana nywele za sultani na ndio wanaopinga hata mapinduzi.

Mafuta sasa naona kimyaa! mliposikia habari kutoka kusini mmepoa. Hebu kaeni mtathmini mzbar wa kawaida anaathirika au anafaidi vipi huu muungano. Kuna kitu gani watu milioni 40 wanaweza kuibia watu laki 7?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom