MSITUKANE WAHENGA

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,223
Reaction score
5,150
Kuna usemi usemao USITUKANE WAHENGA ANGALIA UZAZI HUO ULIPO
Ndio hayoooo ya liopo sasa topic kubwa humu ushauri wa mapenzi
Vishawishi,umbea,utoto,
Leo vikwapa vimeota nywele tu kosa
Washajisahau na kuvuka mipaka hadi kutukana mababu zetu/zao
 
Waloota nywele za vikwapa hapo ni wanasiasa au akina nani?
Maana baadhi yao wanajijali wenyewetu hawawajali tena wahenga ambao ndio niwapiga kura
 
Hakuna usemi kama huo, usipotoshe jamii na hasa vijana. Kuna methali, 'usitukane wakunga, uzazi ungalipo'. Ni bahati mbaya wengi methali siku hizi hawazitumii.
 
Kuna usemi usemao USITUKANE WAHENGA ANGALIA UZAZI HUO ULIPO
Ndio hayoooo ya liopo sasa topic kubwa humu ushauri wa mapenzi
Vishawishi,umbea,utoto,
Leo vikwapa vimeota nywele tu kosa
Washajisahau na kuvuka mipaka hadi kutukana mababu zetu/zao
Acha kuipotosha jamii kijana,jambo kama hulijui ni bora ukauliza kuliko kukurupuka,huo usemi umeupata wapi?

kuna methali inasema Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
 
Acha kuipotosha jamii kijana,jambo kama hulijui ni bora ukauliza kuliko kukurupuka,huo usemi umeupata wapi?

kuna methali inasema Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Kuna tofauti ipi kati ya usemi na methali
 
Kuna usemi usemao USITUKANE WAHENGA ANGALIA UZAZI HUO ULIPO
Ndio hayoooo ya liopo sasa topic kubwa humu ushauri wa mapenzi
Vishawishi,umbea,utoto,
Leo vikwapa vimeota nywele tu kosa
Washajisahau na kuvuka mipaka hadi kutukana mababu zetu/zao
"Usitukane wakunga...!"sio "wahenga" methali zilikupita wewe eh?
Hebu tafsiri hiyo methali yako kama utaweza !wahenga na uzazi wapi na wapi?
Faiza foxy njoo kuna kiumbe hajui methali zetu huku!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…