mnajifanya mna huruma sana na sisi mkapa aliingia msafi ametoka ikulu na makampuni lukuki wamefanya biashara ikulu leo anatuita watanzania sis malofa na wapumbavu, kikwete aliingia ikulu watu wakiwa na matumaini sana aliyofanya ameuza nchi yetu imebaki kubadilishwa rangi yake. ndio mana tunasema hatuwataki lowasa katuibia sisi tumempenda sis shida yenu nini hatuwaamini ninyi tukikumbuka EPA, TANGOLD, MEREMETA, KIWIRA, TWIGA, TEMBO NA ESCROW mtuacheeee