Msitoe mapovu ,ni utani tu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Baada ya kuboreka na mawaidha ya sheikh, waumini wote walisepa isipokuwa muumini mmoja. Sheikh alipogeuka nyuma na kumwona akamsifia kwa kumwambia kwamba yeye ni muumini
pekee mwenye imani ya kweli.
Yule muumini akajibu;acha longo longo wewe, unazidi kunichelewesha, umekalia mkeka wangu!
 
Atakayetoa mapovu hapa ana tatizo! Ni kichekesho kizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…