Miaka kadhaa iliyopita Kibaki alitaka kufanya hichi anachokifanya sasa Jakaya ya kuandika katiba anayoitaka yeye sasa baadae kutakiwa kuwa na kura ya maoni kuikubali au kukataa njia hii.Wapenda mageuzi wa kweli wakajipanga na kupita nchi nzima kuipinga na kuwashawishi watu waikatae kwa kupiga 'NO' walijulikana kama orange,na upande wa Kibaki wa 'YES' ulijulikana kama ndizi.
Upande wa 'NO' au Orange ulishinda na hivyo kumlazimisha Kibaki kutumia njia ya kuwashirikisha Wakenya wote katika kuandika na kupitisha Katiba hii nzuri waliyoipata sasa.
Kwahiyo ni kujipanga tu wakati wa kura ya maoni kuhamasisha wananchi kuikataa Katiba hii,inawezekana kila mmoja akishiriki kikamilifu.
Wewe ndio muongo Kenya walikataa mchakato wa Kibaki katiba ilikuwa bado.Tatizo hamsemi kweli,mnadanganya watu sijui kwa faida ya nani? kenya walikataa katiba siyo mswada wa maandalizi ya katiba.chadema wanakataa mswada wa ,maandalizi ya katiba na kwa hakili zenu ndogo mnadhani nyinyi ndo wananchi wanawapenda kuliko ccm na cuf? kama tunapima uwakilishi ndo wingin wa watu wanaopenda chama,chadema wamepata wapi takwimu kwamba wao ndo wanapendwa kuliko ccm wenye RAIS NA WABUNGE WENGI?,njoni mikoan chadema mpoteze muda kama IGUNGA,LAKINI MJUE KATIBA ITAANDIKWA NA WATANZANIA WATAIKUBALI.
Mkuu hata mimi hilo kidogo linanipa wasiwasi wasimamizi si watakuwa hawa NEC ya Kivuyo ?Mkuu uporoto kuna kitu nataka ujue,tukikosea step tukakubali kura ipigwe tumekwisha lazima watashinda,hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindanna na ccm tunapoongea mambo ya kura,ni wazoefu wa kuchakachua,hilo siafiki hata kidogo
Miaka kadhaa iliyopita Kibaki alitaka kufanya hichi anachokifanya sasa Jakaya ya kuandika katiba anayoitaka yeye sasa baadae kutakiwa kuwa na kura ya maoni kuikubali au kukataa njia hii.Wapenda mageuzi wa kweli wakajipanga na kupita nchi nzima kuipinga na kuwashawishi watu waikatae kwa kupiga 'NO' walijulikana kama orange,na upande wa Kibaki wa 'YES' ulijulikana kama ndizi.
Upande wa 'NO' au Orange ulishinda na hivyo kumlazimisha Kibaki kutumia njia ya kuwashirikisha Wakenya wote katika kuandika na kupitisha Katiba hii nzuri waliyoipata sasa.
Kwahiyo ni kujipanga tu wakati wa kura ya maoni kuhamasisha wananchi kuikataa Katiba hii,inawezekana kila mmoja akishiriki kikamilifu.
Mimi binafsi kwa maoni yangu naona njia hii ni sahihi zaidi kuliko maandamano ambayo hayana athari ya moja kwa moja kubadili maamuzi haya. Tujipange kuikataa kwenye kura ya maoni na hata ukiongea na watu wengi hawajaafiki uburuzwaji uliotokea.Vote 'NO' to The State House Constitution.

Ni wazo zuri, lakini hiyo YES na NO itafanya kazi vizuri mahali ambapo mna tume huru inayosimamia huo upigaji kura. Lakini huo mswada unaipa madaraka tume tuliyo nayo ya uchaguzi (ya kikwete) jukumu la kuisimamia hiyo kura. Unategemea nini hapo?Mimi binafsi kwa maoni yangu naona njia hii ni sahihi zaidi kuliko maandamano ambayo hayana athari ya moja kwa moja kubadili maamuzi haya. Tujipange kuikataa kwenye kura ya maoni na hata ukiongea na watu wengi hawajaafiki uburuzwaji uliotokea.Vote 'NO' to The State House Constitution.
Tatizo hamsemi kweli,mnadanganya watu sijui kwa faida ya nani? kenya walikataa katiba siyo mswada wa maandalizi ya katiba.chadema wanakataa mswada wa ,maandalizi ya katiba na kwa hakili zenu ndogo mnadhani nyinyi ndo wananchi wanawapenda kuliko ccm na cuf? kama tunapima uwakilishi ndo wingin wa watu wanaopenda chama,chadema wamepata wapi takwimu kwamba wao ndo wanapendwa kuliko ccm wenye RAIS NA WABUNGE WENGI?,njoni mikoan chadema mpoteze muda kama IGUNGA,LAKINI MJUE KATIBA ITAANDIKWA NA WATANZANIA WATAIKUBALI.