Dola ya nchi ina mihimili 3
- Bunge
- Serikali
- Mahakama
Bahati Mbaya Serikali ndio inakusanya kodi....na ndio inagawa kwa Mihimili mingine
Bunge ni kupanga bajeti na kutunga Sheria
Kimsingi Bunge ndo wananchi wenyewe, ndio wanaiweka serikali madarakani
Hawa wenye serikali wamebaka nchi....wanadharau Bunge na Mahakama
Wanavunja Katiba, na hawafuati sheria
KISA tu ndio wanakusanya kodi
Chonde chonde, turudi nyuma kwenye busara
Tuache ubabe
Spika Ndugai amesema tuache Ubabe