Nimekushusha sana CV kwa kusema eti JK alishinda 2010.Mental ill
:A S embarassed:Kweli CCM watashinda, ila kwa kuiba kura.
Unakusea sana kuwalaumu wa tanzania.
Watanzania huwa hawafanyi kosa sanaaa.
Heko kubwa na bao la ushindi wafungalo ccm dhidi ya wapinzani ni kuiba kura.Wakishilikiana kwa karibu sana na hawa chui wavaao ngozi ya kondoo si wengine ni usalama wa taifa..
Kama huko arumeru watawakamata koo mpaka mwisho kuhakikisha hawapati mwanya wa kuiba kura hakika tutarajie maajabu makubwa.
Heko nyingine na bao la dochi walifungalo ccm ni umasikini wa watanzania.
Asilimia kubwa na wafuasi wakubwa wa ccm ni wale watanzania wa kipato cha chin.
Ambao hukubali kulubuniwa na pombe za kienyeji,vyakula,nyama choma,mashati,t-shirt,kapero ,kanga na skaf,vitambaa
na kuhongwa vijisent vidogo ili waipigie kura ccm.
chadema chadema chadema,
msijipe moyo kuwa mtashinda arumeru mashariki,watanzania ni watu wa ajabu sana,labda niwakumbushe kidogo wakati kashfa kuu kwa serikali ya richmond kulikuwa na uchaguzi wa ubunge tunduma na ccm yenye kashfa ikashinda,tukiwa kwenye hali mbaya kiuchumi,kisiasa na kashfa kede uchaguzi mkuu 2010 watanzania walimchagua jk na ccm yake kwa zaidi ya asilimia 60,juzi juzi igunga pamoja na matatizo yote waliyonayo magamba bado watanzania wakaichagua ccm,uzini nayo mmejionea,watanzania watanzania watanzania ni nani awakomboe.ndugu zangu siwakatishi tamaa ila msishangae ccm ikiibuka na ushindi mnono arumeru mashariki wananchi wa tanzania ndivyo walivyo bado hawako tayari kukombolewa.
Nimekushusha sana CV kwa kusema eti JK alishinda 2010.Mental ill
Mkuu ninaishi igunga, ccm walimwaga pesa mpaka basi, si takukukuru wala nani ambaye angeweza kuwazuia maana walitapakaa jimbo zima kama nzige wakagawa pesa hadi kwa wachumgaji, shahada zikanunuliwa, tisheti, kanga, kofia na vitambaa vikakasambazwa, zakaingia na propaganda za akina wasila, magufuri na wengine, selikari ikaamia igunga, polic nayo ikacheza nafasi yake ikishirikiana na ccm. Ikumbukwe tume na msajiri zote ni organ za ccm Tendwa ameanza mmemuona. Kwa maana hiyo nakubaliana na mleta mada kwa move hizo ccm ina nafac kubwa ya kushinda.KUSHINDA NI KUSHINDA TUU,UNAWEZAJE KUSEMA KUWA CHADEMA WALISHINDA IGUNGA WAKATI MTU WA KWANZA KUTANGAZA KUWA CCM IMESHINDA ALIKUWA ZITTO ZUBERI KABWE??
HATA KABLA TUME HAIJATANGAZA NANI KASINDA IGUNGA ZITTO ALISEMA KWENYE TWITER YAKE """We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"""
IKUMBUKWE HII ILIKUWA KABLA YA TUME KUTANGAZA MATOKEO.SASA MKISEMA CCM ILIIBA KURA IGUNGA INASHANGAZA,ILA NI KWELI KWAMBA WATZ WANAFANYA MAAMUZI MABAYA MARA NYINGI NA HII HAITAKUWA MARA YA KWANZA WAKIFANYA HIVYO ARUMERU EAST
Mkuu ninaishi igunga, ccm walimwaga pesa mpaka basi, si takukukuru wala nani ambaye angeweza kuwazuia maana walitapakaa jimbo zima kama nzige wakagawa pesa hadi kwa wachumgaji, shahada zikanunuliwa, tisheti, kanga, kofia na vitambaa vikakasambazwa, zakaingia na propaganda za akina wasila, magufuri na wengine, selikari ikaamia igunga, polic nayo ikacheza nafasi yake ikishirikiana na ccm. Ikumbukwe tume na msajiri zote ni organ za ccm Tendwa ameanza mmemuona. Kwa maana hiyo nakubaliana na mleta mada kwa move hizo ccm ina nafac kubwa ya kushinda.
Ni kambi ya EL ndiyo iliyoshinda baada ya kuipiga mwereka kambi ya CCM.