Msioijua, hii ndiyo CHADEMA

ujinga huu ndio mmeuingiza sasa hivi

chadema ilijengwa kwa marketing,kujitolea,kuisemea,etc huko kwa ground

eti leo unakuja kutudanganya eti wananchi wenyewe wamejipendekeza wenyewe eti hivi hivi

kwanza story ni ya uongo,pili ilijengwa kwa nguvu kipindi hicho,imani imeshuka kiasi fulani sasa,na nyie mnajikalisha ofisini mnategemea wananchi wajitume wenyewe

kuna zito anawazoa wote,kuna chaumma nae anaenda chini kujenga wanachama..mwisho wa siku wote wanahamia penye mipango

kaeni na makengeza yenu mnategemea wananchi wajitume wenyewe wakati kuna wanaojitangaza kwa nguvu zote

hii post ni muendelezo wa chadema kubweteka,mwisho wa siku you will find out!
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…