bro niko serious nna mpiga kura tu nida ilipotea kipind hadi leo naambiwa haijatoka so nataman nipitie njia ya mlango wa nyuma hadi kenyaHuna nida, huna passport.
Afu unaenda kwa kasongo, labla kasongo wa Manyara national park
Kwenda Kenya sio kazi kurudi ndio kasheshe andaa hela ya kuhongabro niko serious nna mpiga kura tu nida ilipotea kipind hadi leo naambiwa haijatoka so nataman nipitie njia ya mlango wa nyuma hadi kenya
kwenda sio kazi kivip kiongozi ebu nielekeze au nieleze ilivyoKwenda Kenya sio kazi kurudi ndio kasheshe andaa hela ya kuhonga
sirari hata mim najua hapana shda ni kuhusu namangaKuvuka boda bila passport labda uvuke kwa miguu,ukishafika upande wa pili upande gari likupeleke huko uendako. Wakati wa kurudi Bongo pia uvuke mpakani kwa miguu. Huo ni uzoefu wangu ingawa sijawahi kupitia Namanga kwahiyo sijui utaratibu wa hapo,ila kwa Sirari ukivuka kwa mguu au pikipiki huulizwi swali lolote na mtu yoyote.
Ukiwa na namba ya nida unapata passport ndogo kama haujui safari harafu viambatanisho vya safari ni chenga utapata matatizo ambayo yatakugharimu zaidi..bro niko serious nna mpiga kura tu nida ilipotea kipind hadi leo naambiwa haijatoka so nataman nipitie njia ya mlango wa nyuma hadi kenya
Yellow fever cardNaomba kuuliza wakuu, mbali na passport nini kingine kinahitajika kuingia kenya, nataka kwenda Mombasa mwezi ujao
Usipande basi utadakwa.Mwisho wa mwezi naenda arusha nipite namanga niende kumsailimia kasongo na nitatumia usafiri wa bas coz haka kangu kanaweza lipukia njiani.
Nahitaji anayejua basi safi nauli ndogo aniambie hadi na nauli na pili aniambie kama kuna uwezekano wa kuunganisha safari coz kulala lodge sina nida na kuvuka sina passport. Je nifanyeje?
itakuwa safi coz wananichanganya kwa kunitia uoga tuMjibieni na swali linalohusu nauli na basi gani
ni kwel nafata vitambaa kama vyote lakn sitak kupita sirariUkiwa na namba ya nida unapata passport ndogo kama haujui safari harafu viambatanisho vya safari ni chenga utapata matatizo ambayo yatakugharimu zaidi..
2026 sio salama kusafiri bila passport Dunia yenyewe imekaa tenge unaweza kuingia huko yakatokea ya Wasomali ukapewa kesi ya ugaidi kumbe ulikua unafata vitamaa Nairobi..
Oooh asante mkuu, bahati nzuri ninayo. Kwa hiyo passport na yellow fever card pekee, je covid 19 hawaangalii?Yellow fever card