MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
- Thread starter
-
- #21
Soon I will receive this offer .Mangapi yanakusibu mrembo? I give you a shoulder to cryView attachment 2795893
Ila wewe sijui kama sio dumeSoon I will receive this offer .
Hapana nimekuwa dr mambwa mbwa my loveUmekuwa Dr manyau nyau
Brand anayojitengenezea ni ya bei rahisi mno😁😁ni sawa na bureAnahitaji faraja jamanii😂😂😂... wacha mimi nisimame upande wake kuanzia sasa
Ila tuende mbele na turudi nyuma... huyu dada sijui ana shida gani jamani 😂😂😂🤦♀️🤦♀️Brand anayojitengenezea ni ya bei rahisi mno😁😁ni sawa na bure
🙄🙄Habari ya jioni.
Kwanini wanajf wanastress sana.
Mie najipostia thread zangu lakini maadui wamekuwa wengi kuliko marafiki.
Upendo umepoa kabisa.
Niende wapi nikajiliwaze moyo unavuja damu.
Mapenzi yanishinde fake id ziniumize jamani.
Tutafute pesa tusiwe na makasiriko.
Tutoke out.
Tuwe na wachumba wenye hela.
Tuoge tuvae vizuri.
Haka ka baby walker kangu leo usiku nataka Mwanaume nimtoe out samaki samaki .
Mimi sijaenda mbele wala kurudi nyuma nimebaki katikati ila mleta uzi ako na problem 😀Ila tuende mbele na turudi nyuma... huyu dada sijui ana shida gani jamani 😂😂😂🤦♀️🤦♀️
Anahitaji faraja 😂😂😂🤭Mimi sijaenda mbele wala kurudi nyuma nimebaki katikati ila mleta uzi ako na problem 😀
Sanaa😀😀Anahitaji faraja 😂😂😂🤭
mm mwenyewe faraja nani anipe faraja.Anahitaji faraja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960]
Heee😳😳, Umenigeuka tena😂😂🙌mm mwenyewe faraja nani anipe faraja.
Hatukuchukii bali TunakudharauHabari ya jioni.
Kwanini wanajf wanastress sana.
Mie najipostia thread zangu lakini maadui wamekuwa wengi kuliko marafiki.
Upendo umepoa kabisa.
Niende wapi nikajiliwaze moyo unavuja damu.
Mapenzi yanishinde fake id ziniumize jamani.
Tutafute pesa tusiwe na makasiriko.
Tutoke out.
Tuwe na wachumba wenye hela.
Tuoge tuvae vizuri.
Haka ka baby walker kangu leo usiku nataka Mwanaume nimtoe out samaki samaki .
Utachakazwa ufubae km dodoki,Soon I will receive this offer .
Kwani siku hizi huendi tena pale Kimboka?Habari ya jioni.