MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Una mawazo mwanamke wewe jf ni ya woteNani akuchukie wewe? Tofautisha kata ya kuchukiwa na kusikitikiwa.
Nimefanyaje my dear.[emoji23][emoji23]ila mzuri bhana[emoji119]
Nani wakunidharau unanijazia hata madura gari yangu yaan bidada tuwe na umoja roho mbaya hazijengi.Sema wamekudharau ila sio kukuchukia,
Kua makini usife haraka
Wandewa mmeingia...๐คฃNani akuchukie wewe? Tofautisha kata ya kuchukiwa na kusikitikiwa.
Wapi wameingiaWandewa mmeingia...[emoji1787]
We anzisha tu....hizo comments mbovu au zinazokuumiza ni comments pia....shukuru wanavyokujibu hivyo kuliko thread kupotezewa...Komaa cuteNimefanyaje my dear.
I love you to yeye
Naomba namba yako ya simu ..Wapi wameingia
Kuandika kwenyewe hujui, utakufa makalio juu, we tafuta tu umaarufu wa mavi kunukaNani wakunidharau unanijazia hata madura gari yangu yaan bidada tuwe na umoja roho mbaya hazijengi.
Utakufa mdomo upo wazi
Anahitaji faraja jamanii๐๐๐... wacha mimi nisimame upande wake kuanzia sasaKwa kusoma mwandiko wako leo nimegundua kuwa uko na ugonjwa.pole
Maisha yamekushinda bando la Mia 5 lakunisumbua mie nenda kale miguu ya kuku ulaleKuandika kwenyewe hujui, utakufa makalio juu, we tafuta tu umaarufu wa mavi kunuka
Umekuwa Dr manyau nyauKwa kusoma mwandiko wako leo nimegundua kuwa uko na ugonjwa.pole