PANGU PAKAVU.
Member
- Jul 28, 2010
- 10
- 0
Jamani wadau mi ni mgeni humu ndo nimiingia sasa ivi naombeni kura zenu za ukaribisho.Kichama mi ni mfuasi wa mageuzi na si Mapiinduzi.
hawa wageni wasiku hizi kweli wamebadilika!!
hivi unaweza kwenda sehemu ambayo huwafahamu watu wakoje ukaomba ukaribisho kwa staili hii.
nina wasi wasi na huyu mgeni
n way Karibu jamvini pako pakavu