Msinichekeeeee!! Msinichekeeeee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msinichekeeeee!! Msinichekeeeee!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by PANGU PAKAVU., Jul 28, 2010.

 1. P

  PANGU PAKAVU. Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau mi ni mgeni humu ndo nimiingia sasa ivi naombeni kura zenu za ukaribisho.Kichama mi ni mfuasi wa mageuzi na si Mapiinduzi.
   
 2. K

  Kamarada Senior Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tia Mchuzi, JF ni jamvi huru kabisa, sidhani kama kunamtu wa kukucheka. Karibu kwa positive thinking.
   
 3. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kabla ya yote naomba ujitathmini mwenyewe kama umekombolewa kimawazo lakini kama unataka mabadilko ya kiuchumi katika nchi hii badilika kimtizamo.
   
 4. P

  PANGU PAKAVU. Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kivipi jenerali?
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Hatukuchekiiiiiiii, Hakukuchekiiiiiiiiiiiiiiiiii

  Ila tutachangia posts zako!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,145
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  karibu pangu pakavu
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  pako pakavu??
  kwetu kuna neema...............TZ bila CCM inawezekana......sema Ameen
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,790
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  hawa wageni wasiku hizi kweli wamebadilika!!
  hivi unaweza kwenda sehemu ambayo huwafahamu watu wakoje ukaomba ukaribisho kwa staili hii.
  nina wasi wasi na huyu mgeni
  n way Karibu jamvini pako pakavu
   
 9. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Usishangae hiyo ndio hali halisi ya utandawazi ambayo imezaa kizazi kipya
   
Loading...