Msingi wa tofali vs msingi wa mawe

Msingi wa tofali vs msingi wa mawe

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
1,223
Reaction score
998
Wakuu kuna huu ubishani ambao mafundi wamekuwa wakiuleta kuhusu upi ni bora. Naomba wataalamu wanisaidie hapo.
 
msingi wa mawe, au kama ni wa tofali unaweka na mkanda wa zege na nondo
 
Msingi wa mawe ni imara zaidi..
Mara nyingi kinachofanya mtu kutumia mawe au tofali ni upatikanaji wake na garama pia.. ila kama uko maeneo ambayo mawe yapo na bei yake inahimilika ni bora utumie mawe.
Mawe kwanza huwa haya pukutiki kama tofali zinapokutana na maji..
Pia matofali tena haya ya cement yana life span ambapo muda ukifika huanza kudecompose maana kama unafahamu cement ni organic material so nakushauri tumia mawe zaidi..
 
Thanks mkuu. Wanadai tofali za msingi zinawekwa cement kali hivyo zinakuwa imara na kwamba matofalj ya msingi yakilazwa bapa kuweka ufa sio rahisi
 
Yah ni kweli Inabidi ziwe na ratio kali napia zilazwe ila kama mawe yapo nani bei nafuu tumia mawe..
 
Unajengea wapi?msingi wa mawe ni recommended lakini kama hayapatikani kirahisi mf Dar unaweza kutumia tofali lakini lazima resho ya tofali na cement ziwe kali. Tofali ukitumia tofali 35 kwa mfuko sio mbaya

Moderator nimewashauri kuanzisha jukwaa la ujenzi mnaona ntafaidi
 
Anasema mfuko mmoja kwa tofali 25 mpaka 30
 
Unajengea wapi?msingi wa mawe ni recommended lakini kama hayapatikani kirahisi mf Dar unaweza kutumia tofali lakini lazima resho ya tofali na cement ziwe kali. Tofali ukitumia tofali 35 kwa mfuko sio mbaya

Moderator nimewashauri kuanzisha jukwaa la ujenzi mnaona ntafaidi
Mkuu vipi ombi lako la kuanzishwa jukwaa la ujenzi limefikia wapi?
 
Msingi wa mawe ni imara zaidi..
Mara nyingi kinachofanya mtu kutumia mawe au tofali ni upatikanaji wake na garama pia.. ila kama uko maeneo ambayo mawe yapo na bei yake inahimilika ni bora utumie mawe.
Mawe kwanza huwa haya pukutiki kama tofali zinapokutana na maji..
Pia matofali tena haya ya cement yana life span ambapo muda ukifika huanza kudecompose maana kama unafahamu cement ni organic material so nakushauri tumia mawe zaidi..
Sasa kwa mfano mimi nipo Mwanza. Tripu ya mawe ya 4 cub ni kuanzia 50,000 hadi 65,000 kulingana na site ilipo. Naanzaje sasa kutumia msingi wa tofali sasa!!?. Kwanza gharama ya msingi wa tofali ni kubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom