Tena umenikumbusha! Hivi senene hutokea wapi? Ardhini au wanatokea juu? Msingi wa shwali hili ni kwamba senene wanaweza kuwa eneo moja tu na kijiji/ mtaa wapili hawapo! Mahali walipo wanakuwepo wanaoruka juu na chini wanakuwepo wengi! Wanatokea wapi?